News

Namna ya kufanya candling (uchunguzi wa mayai yanayototoleshwa)

06/03/2024

Makala hii ni muendelezo wa makala iliyopita ambapo ilijikita katika kuelezea namna ya kutotolesha mayai kwa njia ya asili na...

Unaanzaje kilimo hai

25/01/2024

Kumekua na maswali kadhaa juu ya kuanzisha kilimo hai. Yamkini,...

WEBSITE DESIGNER

01/12/2023

Terms of Reference: Updating Mkulima Mbunifu Website - www.mkulimambunifu.org About...

Za hivi karibuni

Namna ya kufanya candling (uchunguzi wa mayai yanayototoleshwa)

06/03/2024

Makala hii ni muendelezo wa makala iliyopita ambapo ilijikita katika kuelezea namna ya kutotolesha mayai kwa njia ya asili na pia kwa njia ya mashine (Incubator). Katika muendelezo huu tutaangalia kwa undani jinsi ya kuchunguza yai kwa kutumia mwanga. Candling...

Ifahamu ndizi kitarasa na faida zake

28/02/2024

Ndizi ya Kitarasa ni moja ya ndizi inayotumika kama chakula cha kitamaduni kwa wachaga waishio katika mkoa wa Kilimanjaro. Aina hii ya ndizi hutumiwa kutengeneza unga wa uji, kutengeneza bia ya kitamaduni na kama mchanganyiko wa chakula cha kitamaduni katika...

Tengeneza mbolea ya chai ya alizeti pori (Tithonia diversifolia)

27/02/2024

Alizeti pori maarufu kisayansi tithionia diversifolia ni aina ya mmea unaomea karibu kila mahali kando ya barabara na hata kwenye kingo za mito katika ardhi isiyokuwa na rutuba au hata katika maeneo ya bustani. Mmea huu ni mrefu na una...

Mambo muhimu ya kuzingatia kwa unenepeshaji wa nguruwe

27/02/2024

Nguruwe wanaonenepeshwa wanahitaji kutunzwa vizuri ili waweze kufikia uzito wa kuchinjwa mapema. Nguruwe waanze kunenepeshwa wakiwa na umri wa wiki 9 hadi 14 na uzito wa kilo 25 hyadi 30. Nguruwe wana uwezo wa kuongezeka uzito wa hadi gramu 700...