News

Unaanzaje kilimo hai

25/01/2024

Kumekua na maswali kadhaa juu ya kuanzisha kilimo hai. Yamkini,...

WEBSITE DESIGNER

01/12/2023

Terms of Reference: Updating Mkulima Mbunifu Website - www.mkulimambunifu.org About...

Za hivi karibuni

Sababu za kula mayai

03/05/2024

Kula yai ni njia rahisi ya kuboresha afya yako.kiini cha yai huwa na madini ya chuma pamoja na kaLshium na ute wa yai huwa na protini za kutosha.madini ya chuma yanasaidia kuongeza damu mwilini na kalshium huimarisha mifupa.kama huna tabia...

TUSHIRIKISHE CHANGAMOTO UNAZOKUMBANA NAZO KATIKA KILIMO NA UFUGAJI MSIMU HUU WA MVUA

30/04/2024

Huu ni msimu wa mvua katika maeneo mengi nchini. Bila shaka wengi wetu ni wakulima na wafugaji hivyo bado tunaendelea na shughuli zetu za kila siku. Je, ni changamoto zipi unazopitia katika msimu huu wa mvua kwenye shughuli zako za...

Mchanganyiko sahihi wa lishe/chakula cha kuku kwa kuzingatia gharama nafuu

30/04/2024

Hili ni swali alilouliza mkulima Nelson Shao. Habari Nelson , Karibu sana Mkulima Mbunifu na hongera kwa kuendelea kufuatilia na kusoma makala mbalimbali za Mkulima Mbunifu. Kuhusu chakula cha kuku unaweza kutengeneza mwenye kama ifuatavyo; Malighafi aina ya kwanza na...

VACANCY: TERMS OF REFERENCE FOR MKULIMA MBUNIFU (MKM) INTERNAL EVALUATION CONSULTANT

30/04/2024

SAT seeks to recruit a consultant to support MkM project to carry out a rapid progress evaluation for the implementation period running from January 2023 – June 2024. CLICK THE LINK HERE https://mkulimambunifu.org/wp-content/uploads/elementor/20240429_TOR-for-Evaluation-Consultant_1.pdf