Karibu mkulima uelimike

Wapendwa wakulima, tunapenda kutambulisha kwenu jarida la Mkulima Mbunifu, jarida la wakulima wadogo wadogo Afrika Mashariki. Kwa sasa, kuna uelewa na umuhimu wa wakulima wadogo katika maendeleo. Zaidi ya asilimia themanini na tano ya wakulima katika kanda ya Afrika Mashariki ni wakulima wadogo wadogo, lakini hawana uwezo wa kupata taarifa juu ya mbinu na zana wanazoweza kutumia katika shughuli zao ili kufanikisha kilimo. Suala la kupunguza njaa na umasikini linaanzia kwa hawa wakulima wadogo wadogo.

Pages

On Facebook