Mwongozo wa ufugaji wa kuku

Maoni

Naomba unitumie nakala ya kitabu cha mwongozo wa ufugaji wa kuku plz

Tuandikie email yako tutakutumia

naomba munitumie kitabu cha ufugaji wa kuku

naomba nitumie nakala ya hicho kitabu

Habari Bw.Vasco

Mkulima Mbunifu imerahisisha namna ya upatikanaji wa kitabu hiki kwa wadau wake wote mtandaoni, ili kukipata na kukisoma kwa njia ya mtandao, tafadhali tembelea tovuti yetu http://www.mkulimambunifu.org, kisha nakala zote, na chagua to read them online ambapo utasomea hapo hapo mtandaoni au to download them in pdf ambapo unaweza kujipatia nakala yako.

Karibu sana mkulima mbunifu.

Naitwa Sylvia Malula naomba unitumie mwongozo wa kitabu cha ufugaji wa Kuku, pia naomba msaada unielekezeke kulea vigaranga mwenyewe kwani kuna Kuku wangu anakaribia kutotoa sitaki alee yeye. Email yangu ni sylviamalula @yahoo. com.

Hongera sana kwa kazi yako nzuri ya kutuelimisha.
Naomba unitumie mwongozo wa ufugaji wa kuku na mchanganyo wa chakula cha kuku wa nyama na wa mayai.

Habari,

Tunashukuru kwa ombi lako, tutakutumia nakala kama ulivyoomba.

Karibu Mkulima Mbunifu.

Naomba nitumiwe kitabu,namba yangu ya simu ni 0785964593

Habari,

Tutakutumia kama ulivyoomba, tafadhali angalia kwenye barua pepe yako.

Heri ya Mwaka Mpya Mkulima Mbunifu. Naomba nitumiwe nakala ya kijitabu cha mwongozo wa ufugaji kuku kwa njia ya e-mail.
Kazi Njema.

Tupe email yako na namba za simu tutakutumia

Habari za kazi.

Naomba na mimi unitumie kitabu cha mwongozo wa ufugaji kuku kwa njia ya email yangu hiyo hapo juu.

Kazi njema.

Tutumie email yako na namba za simu, tutakutumia

Naomba nitumie nakala ya mwongoxo wa ufugaji wa Kuku

NAOMBA KUTUMIWA KITABU CHA MWONGOZO WA UFUGAJI KUKU.NATANGULIZA SHUKURANI ZANGU

Tutumie email yako na namba ya simu tafadhali

naomba kutumiwa kitabu cha mwongozo wa ufugaji kuku

Tutumie email yako na namba ya simu ili tuweze kukutumia

naomba nitumiwe muongozo wa ufugaji wa kuku,namba yangu ni 0785964593

Tafadhali nitumie kitabu hiki kupitia email.
Natanguliza shukurani.

Tutumie email yako na namba ya simu ili tukutumie kitabu

nami nahitaji kitabu cha muongozo wa ufugaji kuku

Tutakutumia kwenye email hiyo. Pia tutumie namba yako ya simu

Tumeshakutumia angalia kwenye barua pepe yako na utumjibu pia hapo

Naomba na Mimi nitumiwe kitabu

Tumeshakutumia tafadhali angalia kwenye barua pepe yako

Wote tumeshawatumia, tafadhalia angalienei kwenye email zeni na mnirudishie majibu hapo kwenye email tafadhali.

Asante kwa ombi lako, tumekutumia kitabu kama ulivyoomba. Tafadhali angalia kwenye barua pepe yako.

naomba kitabu cha 'mwongozo wa ufugaji kuku'

Habari,

Tutakutumia, tafadhali angalia kwenye barua pepe yako.

Asante na karibu

Tafadhali na hitaji hicho kitabu kujiendeleza

Habari,

Tutakutumia, tafadhali angalia kwenye barua pepe yako.

Asante na karibu

Habari,

Tutakutumia, tafadhali angalia kwenye barua pepe yako.

Asante na karibu

Bi Flora,
Heri ya Mwaka Mpya 2015,tafadhali sana nami naomba unitumie kitabu hicho cha mwongozo wa ufugaji wa kuku.Je mnacho kitabu au maelekezo ya ufugaji wa kwale??.
Ahsante

Habari,

Tutakutumia kitabu cha mwongozo wa ufugaji wa kuku, tafadhali angalia kwenye barua pepe yako. Kuhusu ufugaji wa kwale, bado hatuna taarifa kamili hivyo tukifanya utafiti na tukawa na taarifa sahii tutakueleza.

Asante na karibu

Habari,

Tutakutumia, tafadhali angalia kwenye barua pepe yako.

Asante na karibu

Nami naomba unitumie nakala ya “Kitabu cha MWONGOZO WA UFUGAJI KUKU.” Natanguliza shukrani zangu.

N. S. Marwa.

Habari,

Tutakutumia, tafadhali angalia kwenye barua pepe yako.

Asante na karibu

Pages

Andika maoni mpya

Plain text

  • Hakuna vishikizo vya HTML vinavyokubaliwa
  • Anuani ya ukurasa kwenye mtandano na anwani za barua pepe hubadilika kuwa viungo moja kwa moja.
  • Mistari na aya zinajipanga zenyewe.