Mswala Muhimu katika Kilimo Hai
Kipande cha Sauti Maelezo Urefu

No Adobe Flash Player installed. Get it now.

Maandalizi kwa ajili ya mbegu au kupanda ardhi chini ya mfumo wa kutokatua udongo unahusisha kufyeka au kukanyanga na kuua magugu. Mabaki ya mimea ni muhimu katika Kilimo Hifadhi kwa kuwa inatumika kama mbolea ya kurutubisha udongo. Kulinda udongo dhidi ya madhara yatokanayo na mvua na jua; kuotesha viumbe wadogo na jumla katika udongo na usambazaji mara kwa mara ya "chakula"; na kubadilisha mandhari katika udongo kwa ajili ya ukuaji wa viumbe, udongo, ikiwa ni pamoja na mizizi ya mimea.

06:32
Usimamizi wa udongo katika kilimo hai
Kipande cha Sauti Maelezo Urefu

No Adobe Flash Player installed. Get it now.

Makala hii inatoa maelezo ya dhana muhimu katika usimamizi wa Kilimo Hai, maswala muhimu ya jumla wa madini, na orodha ya marekebisho ya madini kwa ajili ya matumizi katika mifumo wa kilimo hai. 

05:23
Kanuni za Kilimo Hifadhi
Kipande cha Sauti Maelezo Urefu

No Adobe Flash Player installed. Get it now.

Kulinda udongo dhidi ya madhara yatokanayo na mvua na jua; kuotesha viumbe wadogo na jumla katika udongo na usambazaji mara kwa mara ya "chakula"; na kubadilisha mandhari katika udongo kwa ajili ya ukuaji wa viumbe, udongo, ikiwa ni pamoja na mizizi ya mimea.

03:46
Kilimo Biashara - Sehemu ya tatu
Kipande cha Sauti Maelezo Urefu

No Adobe Flash Player installed. Get it now.

Tunaendelea kuangazia Kilimo Biashara, hasa changamoto zinazowakumba wakulima wanapoendeleza kilimo chao. Tunazungumza na mtaalamu LUcas Sirechoka na mkulima Agostino Olchuroa.

04:35
Kilimo Hifadhi
Kipande cha Sauti Maelezo Urefu

No Adobe Flash Player installed. Get it now.

Kilimo Hifadhi ni mzeto wa mbinu za usimamizi udongo unaolenga kupunguza usumbufu wa muundo wa udongo na viumbe hai wa asili. Kilimo Hifadhi umeonyesha uwezo wa kuboresha mazao na pia kuboresha mazingira na mapatao ya wakulima.

03:46
Kujaribu Kilimo Endelevu
Kipande cha Sauti Maelezo Urefu

No Adobe Flash Player installed. Get it now.

Kulinda udongo dhidi ya madhara yatokanayo na mvua na jua; kuotesha viumbe wadogo na jumla katika udongo na usambazaji mara kwa mara ya "chakula"; na kubadilisha mandhari katika udongo kwa ajili ya ukuaji wa viumbe, udongo, ikiwa ni pamoja na mizizi ya mimea. Makala hii inatoa maelezo ya dhana muhimu katika usimamizi wa Kilimo Hai, maswala muhimu ya jumla wa madini, na orodha ya marekebisho ya madini kwa ajili ya matumizi katika mifumo wa kilimo hai. 

09:29