Ugonjwa wa miguu na midomo

Ugonjwa wa miguu na midomo (FMD)

Huu ni ugonjwa unaowashika ng’ombe, kondoo, mbuzi, pamoja na wanyama wa porini kama mbogo, swala na wakati mwingine tembo. Ng’ombe anapopatwa na ugonjwa wa miguu na midomo huchechemea na asipotibiwa kwa haraka hushindwa kusimama na kula hatimae hudhoofika na hata kufa.

Subscribe to RSS - Ugonjwa wa miguu na midomo