Maelezo

Kwa kuvuna na kutumia maji ya mvua yanayomwagika barabarani, au baada ya kuhifadhi, maji ya ziada inaweza kutmika kwa mazao. Video hii imetayarishwa na www.accessagriculture.org

Muda:
07:40
Maelezo

Zai kama ambavyo yajulikana nchini Burkina Faso, au Tassa nchini Niger, ni mashimo mapana ya kupanda mimea. Yanatumika kurekebisha udongo wakati unatumika kama mbolea. Matumizi ya mashimo haya imeleta mafanikio makubwa katika Afrika Magharibi katika kipindi cha miaka 25 iliyopita. Video hii imetayarishwa na www.accessagriculture.org

Muda:
07:07