News

Tukio Kuu la Kilimo Barani Afrika: India Katika Sekta Inayokua kwa Kasi ya Kilimo, Mifugo na Chakula Tanzania

03/08/2026

Usikose Tukio Kuu la Kilimo Barani Afrika Ukiwa na wageni 10,000, kampuni 1,000, na nchi 35 zikikutana kwa siku mbili,...

Za hivi karibuni

TAHADHARI: Mwelekeo wa mvua za msimu wa vuli (Oktoba – Disemba, 2026) na uwepo wa El Nino

11/09/2026

Katika msimu huu wa Vuli ambao huanza mwezi Oktoba, inatarajiwa kuwa joto la bahari katika eneo la tropiki ya kati ya Bahari ya Pasifiki linatarajiwa kuendelea kuwa la Juu ya Wastani, hali inayoashiria uwepo wa El Niño yenye nguvu kubwa....

Tanzania yaibuka kitovu cha fursa za kilimo na uwekezaji Afrika

03/09/2026

Tanzania imeendelea kujidhihirisha kuwa eneo lenye fursa kubwa kwa uwekezaji na biashara katika sekta ya kilimo barani Afrika, huku kampuni, wawekezaji, wakulima na wadau wengine wakikutana katika 10th Global Africa Agri Expo na 3rd Future Food and Livestock Expo yaliyofanyika...

MAONESHO YA 10 YA AFRICA AGRI EXPO 2026 YAANZA DAR ES SALAAM

02/09/2026

Teknolojia, uwekezaji na kilimo endelevu vyapewa nafasi katika mjadala wa mustakabali wa sekta ya kilimo DAR ES SALAAM: Maonesho ya 10 ya Africa Agri Expo 2026 yameanza leo, Septemba 2, katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Trade Fair Grounds, maarufu...

Uko tayariiii??? Africa Agro Expo ni Kesho!! MKULIMA MBUNIFU TUTAKUWEPO

31/08/2026

TUNAWAKUMBUSHA TENA!  Tarehe 2–3 Septemba 2026 | Uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J.K. Nyerere, Dar es Salaam, Tanzania Sekta za kilimo, mifugo na usindikaji wa chakula barani Afrika zinaingia katika kipindi kipya cha ukuaji, na mwezi huu wa...

Tukio Kuu la Kilimo Barani Afrika: India Katika Sekta Inayokua kwa Kasi ya Kilimo, Mifugo na Chakula Tanzania

03/08/2026

Usikose Tukio Kuu la Kilimo Barani Afrika Ukiwa na wageni 10,000, kampuni 1,000, na nchi 35 zikikutana kwa siku mbili, AAE na FLIP 2026 ni miongoni mwa fursa muhimu zaidi za biashara katika kalenda ya kilimo Afrika mwaka huu. Iwe...